Tuesday 15 September 2015

#MICHEZO>>>SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA(TFF) RUKSA WACHEZAJI KUTUMIKA KATIKA KAMPENI ZA SIASA, LAKINI WASIVAE JEZI.Fahamu zaidi hapa.

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....

0 comments:

Post a Comment