Saturday 12 September 2015

Breaking News>>Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto Mohmed Mtoi afariki dunia.Fahamu zaidi hapa.


Mgombea Ubunge Jimbo la Lushoto, Mohmed Mtoi afariki dunia kwa ajali ya gari akitokea kwenye kampeni zake huko Tanga.

 Mgombea ubunge kupitia Tiketi ya  Chadema  jimbo la lushoto ambaye pia ni mratibu wa kanda taifa amepata ajali na kupoteza maisha jioni hii akiwa jimboni.

0 comments:

Post a Comment