Sunday 13 September 2015

#YALIYOJIRI>>Mgombea Mwenza CCM Samia Suluhu akionyesha kadi za CUF na Chadema, kutoka kwa wanachama waliohamia CCM Ikwiriri, Rufiji.Fahamu zaidi hapa.

 Samia Suluhu  Mgombea Mwenza CCM akionyesha kadi za CUF na Chadema, kutoka kwa wanachama waliohamia CCM Ikwiriri, Rufiji.
Bi MwanahawaSaidi akitangaza kuhama CUF kurejea CCM,kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza CCM Samia Suluhu Ikwiriri Rufiji

0 comments:

Post a Comment