Sunday 13 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea Urais apokelewa na Mafuliko huko Iramba Magharibi mkoani Singida iyoo jana 13 september 2015.Jionee Picha za matukio hapa.



 Edward Lowassa akiwa anawautubia  wananchi wa Ilongero Singida mashariki waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni.

 Mhe. Edward Lowassa akiwasili Ilongero Singida mashariki, Jumapili 13/9/2015 kwa ajili ya mkutan.
 Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni.
 Huyu ni Mzee wa Ilongero Singida mashariki akiwa amejitokeza kuonesha kuwa na yeye mtaka mabadiliko kwenye mkutano wa kampeni.
 Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki wakiwa wanaangalia vitambulisho vya wagombea mbali mbali wa UKAWA kwenye mkutano wa kampeni.
Mhe.Edward Lowassa akiwa akiwanadi madiwani wa Singida mashariki katika uwanja wa Ilongero.
Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki wakiwa wanamshanglia Edward Lowassa kwenye mkutano wa kampeni.

0 comments:

Post a Comment