Friday 25 September 2015

#MICHEZO>>>Leo iyoo huku HAMIS KIIZA huku SAIMON MSUVA.Fahamu zaidi hapa.

Mchezo wa mpira wa miguu kati ya Yanga FC na Simba FC zimekuwa gumzo siku zote wakionana Uwanjani,Huku mchezo wao kichezwa leo hii,huku mchezaji SAIMON MSUVA wa Yanga FC akionekana kung'ara kila mchezo na HAMIS KIIZA akionekana kung'ara katika michezo hii ya mwanzoni mwa ligi kuu Tanzania Bara.

0 comments:

Post a Comment