Monday 14 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Mhe.Edward Lowassa apokelewa Kahama na maelfu ya wanakahama huku wakiwa wameshika Mabango.Fahamu zaidi hapa.

  Kahama Shinyanga Mhe. ameshawasili katika viwanja vya Stendi mpya Kahama viwanja vya Stendi mpya akisubiriwa Mgombea Urais kupitia tikuti ya Chadema UKAWA Edward Lowassa.

 Mhe.Edward Lowassa akiwa ameshawasili katika viwanja vya Stendi mpya Kahama huku akipokelewa na maelfu.
 Wananchi wa Kahama juu ya mti, viwanja vya Stendi mpya.
 WanaKahama Shinyanga wakiwa wameshika Bango kwenye viwanja vya Stendi mpya akisubiriwa Mgombea Urais kupitia tikuti ya Chadema UKAWA.
  Wananchi wa Kahama juu ya mti, viwanja vya Stendi mpya.
Mhe.Edward Lowassa akiwa ameshawasili katika viwanja vya Stendi mpya Kahama huku akipokelewa na maelfu.

0 comments:

Post a Comment