Thursday 24 September 2015

#‎TANZIA Celina Kombani ambae ni‬ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, amefariki dunia hii leo.Fahamu zaidi hapa.

Mbunge wa Ulanga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi na Waziri wa ofisi ya Raisi anayeshughulikia Utumishi wa Umma Celina Kombani amefariki dunia majira ya jioni ya leo wakati akipatiwa matibabu huko nchini India, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi mbele yako nyuma yetu..

0 comments:

Post a Comment