Monday 14 September 2015

#YALIYOJIRI>>>>Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe aongoza kumsindikiza mgombea Ubunge wa Lushoto Mohamedi Mtoi iyo jana.Fahamu zaidi hapa.

 Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe akimzungumzia  Mohamedi Mtoi enzi za uhai wake alivyo kuwa mtenda kazi.
 Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe akimpa pole baba wa marehemu Mohamed Mto. Mzee Shemng'ombe Kanyawana.
  Safari ya mwisho ya Mohamedi Mtoi.
Naibu katibu mkuu bara, John Mnyika akimpa pole baba wa marehemu Mohamed Mto. Mzee Shemng'ombe Kanyawana.
Safari ya mwisho ya Mohamedi Mtoi Daima tutakukumbuka Kamanda.

0 comments:

Post a Comment