Sunday 13 September 2015

Breaking News>>>Waziri wa zamani Fredick Sumaye aongoza Uzinduzi wa Mbunge Saidi Kubenea Jimbo la Ubungo kupitia Tiketi ya Chadema hii leo.Jionee Picha za matukio hapa.

 Waziri wa zamani  Fredick Sumaye akiwa amekaa jukwaa kuu Kwenye mkutano wa kufungua kampeni wa Mgombea Ubunge jimbo la Ubunge kupitia Tiketi ya Chadema kwenye Uwanja wa Mabibo Mpakani hii leo.
 Wananchi wa Jimbo la Ubungo wakimsikiliza Waziri wa zamani  Fredick Sumaye akiwa anazungumzi kwenye mkutano wa kufungua kampeni wa Mgombea Ubunge jimbo la Ubunge kupitia Tiketi ya Chadema kwenye Uwanja wa Mabibo Mpakani hii leo.

0 comments:

Post a Comment