Wednesday 23 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Maelfu waludisha kadi za CCM huko Mtama Lindi.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredick Sumaye akipokea kadi za wanachama wa CCM 1800 waliojiunga na CHADEMA. Jimbo la Mtama 
 Kwa kuwasaidia Twaweza, Wana CCM 1800 wavua gamba na kuvaa gwanda. Jimbo la Mtama
 Wakazi wa Mtama waliojitokeza kumsikila Mgombea Urais wa CHADEMA. Edward Lowassa.

 Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwautubia wakazi wa Mtama
 Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwasalimia wakazi wa Mtama kwa kuwapungia mkono.
Waziri Mkuu Mstaafu, Fredick Sumaye na Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa wakijionea Maelfu kuludisha kadi za CCM.

0 comments:

Post a Comment