Monday 14 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Dkt John Pombe Magufuli akiwa ziharani Tabora iyoo jana.Fahamu zaidi hapa.

  Wafuasi wa chama cha CCM sambamba na wananchi wa Uyui wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni iyoo jana mchana.
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Tabora waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Ali Hassa Mwinyi iyoo  jana jioni,alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Simiyu wakisubiri kumsikiliza mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli kuwahutubia akitokea wilayani Nzega iyoo jana mchana

0 comments:

Post a Comment