Friday 25 September 2015

#YALIYOJIRI>>> Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwanadi Mgombea Ubunge wa Kahama Ndugu Jumanne Kishimba.Fahamu zaidi hapa.

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwanadi Mgombea Ubunge wa Kahama Ndugu Jumanne Kishimba pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Msalala Ndugu Ezekiel Maige mbele ya maelfu ya wakazi wa mji huo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Baadhi ya Wachimbaji wadogo wadogo wakiwa wamemsimamisha Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli katika kijiji cha Masumbwe,ili wamueleze kero zao kuhusiana na suala zima la uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo.

0 comments:

Post a Comment