Monday 14 September 2015

#YALIYOJIRI>>Msafara wa Mgombea Mwenza wa kupitia tiketi ya Chadema UKAWA, Juma Haji Duni Wananchi wasimamisha ili kuutubiwa huku Rukwa.Fahamu zaidi hapa.

 Mgombea Mwenza wa  kupitia tiketi ya Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.

 Msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni ukiwa umesimama katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa baada ya wananchi kuusimamisha katika kijiji hicho wakiitaji kuutubiwa.
  Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Mgombea Mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akiagana na Ofisa wa Polisi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa.
 Gari la mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa leo.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
  Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Chadema UKAWA wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.
 Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.

 Hili ni  Jengo la zahanati ya Kasanga.
 Mgombea Mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akiwajulia hali wananchi waliofika kupata huduma katika  zahanati ya Kasanga iliyopo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.

  Hili ni Majengo ya zahanati ya Kasanga
 Mgombea Mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akitoka katika jengo la mahabara la zahanati hiyo ambalo limejengwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
 Mgombea mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akikagua choo cha zanahati ya kijiji cha Kasanga.

 Mgombea Mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akikagua zahanati ya Kasanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni tabibu msaidizi wa Zahanati hiyo, Eliudi Humbo.
Mgombea Mwenza wa  kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akipata maelezo kutoka kwa tabibu msaidizi wa zahanati ya Kasanga, Eliudi Humbo alipotembelea zahanati hiyo kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa.

0 comments:

Post a Comment