Tuesday 6 October 2015

#MICHEZO>>>Shirikisho la soka Tanzania TFF limemuongezea Boniface Mkwasa mkataba wa kuifundisha Taifa Stars.Fahamu zaidi hapa.

Shirikisho la soka Tanzania TFF imempa Boniface Mkwasa mkataba wa kudumu kuifundisha Taifa Stars baada ya kuridhishwa na kiwango chake,Mkataba wa miaka mitatu huku Taifa Stars ivi leo ikiena uwanjani kucheza na timu ya taifa ya Marawi ikiwa na record ya kutoka sare ya kutofungana na timu ya taifa ya Nigeria,katika uwanja wake wa nyumbani wa taifa.

0 comments:

Post a Comment