Tuesday 6 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu kuingia usiku huu kuivaa Marawi.Fahamu zaidi hapa.

Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wanatarajia kuwasili usiku na kujiunga moja kwa moja na timu ya Taifa Stars tayari kuivaa timu ya Taifa ya Marawi hii leo kwa mujibu wa kocha wa timu ya Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa huku Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wakiwa wametoka kuitumikia timu yao ya TP Mazembe.

Nyota hao wawili watatumiwa kwenye mchezo wake dhidi ya Marawi na kocha wa Taifa stars Charles Boniface Mkwasa

0 comments:

Post a Comment