Sunday 18 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Lowassa aendeleza kuvunja record ya mapokezi yake na muitikio wa kutaka mabadiliko yakiwa ni makubwa huko Mbeya.Fahamu zaidi hapa.

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKWA Edward Lowassa aendeleza wimbi la kuvunja record za mikutano ya hadhara baada kuwasili Mbeya na kuvunja record,huku Umati wa wakazi wa Mji wa Tunduma jijini Mbeya, ukiwefurika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Tunduma. 
 Huu ni muitikio katika Viwanja vya Rwanda-Nzovwe.

0 comments:

Post a Comment