Sunday 18 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli na maelfu huko Mwanza.Jionee hapa..

 Wananchi wa Mwanza wakiwa wanapunga mkono kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli.
 Wakazi wa eneo la kisesa wakifuatilia namna Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alivyokuwa akijinadi wakati akielekea Magu kwenye mkutano wa kampeni mapema jioni ya leo.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
 Magufulika huyu ni mmoja wa wananchi wa Mwanza akionyesha ushujaa wa kupiga pushaup.
 Wananchi wa Mwanza wakiwa wanapunga mkono kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuwasili Mwanza.

0 comments:

Post a Comment