Friday 16 October 2015

#MICHEZO>>>Homa ya mchezo wa mpira kati ya AZAM na YANGA lashika kasi hii leo.Fahamu zaidi hapa.

 Timu ya soka ya Azam FC yaingia leo kwenye uwanjani ikicheza na timu ya Yanga FC ikiwa inapoint sawa na Yanga FC huku timu ya Yanga FC ikiwa na idadi kubwa ya magoli tofauti na timu ya Azam FC ambayo inamagoli machache.

VIINGILIO
Kiingilio cha chini kitakuwa TZS 5,000 kwa viti vyenye rangi ya bluu, Kijani na Machungwa huku kingilio cha juu kikiwa ni Shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa VIP A, na Shilingi Elfu Ishirini (20,000) kwa VIP B & C. Tiketi za mchezo huo zitauzwa siku ya mchezo Jumamosi katika eneo la Uwanaj wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mwamuzi wa mchezo huo atakua Abdallah Kambuzi kutoka mkoani Shinyanga, akisaidiwa na Makame Mdogo (Shinyanga), Robert Luhemeja (Mara), mwamuzi wa akiba Frank Komba (Dsm) huku Kamisaa wa mchezo akiwa Joseph Mapunda kutoka mkoa wa Ruvuma.

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA.
Pos Club P W D L GF GA GD PTS
1 Young Africans SC 5 5 0 0 13 1 12 15
2 Azam FC 5 5 0 0 9 2 7 15
3 Simba SC 5 4 0 1 7 3 4 12
4 Mtibwa Sugar FC 5 4 0 1 6 3 3 12
5 Tanzania Prisons 6 3 1 2 6 5 1 10
6 Stand United 6 3 0 3 4 4 0 9
7 Toto African 6 2 3 1 3 3 0 9
8 Mwadui FC 6 2 2 2 3 2 1 8
9 JKT Mgambo 6 2 2 2 3 4 -1 8
10 Majimaji FC 6 2 1 3 3 4 -1 7
11 Ndanda FC 5 1 2 2 4 5 -1 5
12 Kagera Sugar FC 6 1 2 3 2 7 -5 5
13 Mbeya City Council FC 6 1 1 4 5 6 -1 4
14 African Sports 5 1 0 4 1 6 -5 3
15 Coastal Union SC 6 0 3 3 0 5 -5 3
16 JKT Ruvu Stars 6 0 1 5 1 10 -9 1

0 comments:

Post a Comment