Tuesday 20 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM John Pombe Magufuli aendelea na kampeni zake huko Mwanza.Fahamu zaidi hapa.

 Msafara wa Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM John Pombe Magufuli ukiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi akitokea wilayani Sengengerema kuelekea jijini Mwanza baada ya kumaliza mikutano yake ya kampeni aliofanya katika wilaya ya Geita vijijini,wilaya ya Nyang'wale pamoja na Sengerema mkoani Mwanza.
 Wananchi wakiwa wamefunga njia wakitaka Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM John Pombe Magufuli awasalimie na pia wamweleze shida zao,ili iwapo akichaguliwa katika nafasi ya Urais baasi aweze kuwakumbuka na kuwasaidia.

0 comments:

Post a Comment