Tuesday 20 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Edward Lowassa aongoza Mazishi ya Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel. Fahamu zaidi hapa.


Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Edward Lowassa   wakiteta na Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA katika Mazishi ya Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel Makaidi.
 Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Edward Lowassa akiweka shada la maua kwenye kabuli la Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel Makaidi.
  Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Edward Lowassa na Mbatia wakiwa kwenye uzuni ya kuondokewa na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel Makaidi.
 Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWAakiweka shada la maua kwenye kabuli la Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel Makaidi.

Haya  Mazishi ya Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mh. Emmanuel Makaidi yaliyo fanyika kwenye Makaburi ya Sinza.
Pumzika kwa amani mbele wewe nyuma yetu.

0 comments:

Post a Comment