Friday 2 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Rais Jakaya Kikwete aagwa na Sector Binafsi Tanzania Fahamu zaidi hapa.

 Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Dkt. Reginald Mengi katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wadau alipowasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.



0 comments:

Post a Comment