Friday 16 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Rais Jakaya Kikwete afungua kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.Fahamu zaidi hapa.

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza iyo jana na wananchi wa Bagamoyo katika  hafla ya  kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Bandari ya Bagamoyo.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza iyo jana na wananchi wa Bagamoyo katika  hafla ya  kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Bandari ya Bagamoyo.
Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza  iyo jana na wananchi wa Bagamoyo juu ya ujenzi wa bandari ya Bangamoyo.
 Rais Jakaya Kikwete akifungua pazia kwa kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo iyo jana.
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na viongozi mbalimbali baada ya kuweka jiwe la msingi na ujenzi wa  bandari ya bagamoyo iyo jana.
Sehemu ya viongozi wa waliohudhuria uwekaji wa jiwe la la msingi na uzinduzi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo iyo jana.
Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
Makamu wa Rais Mtendaji wa  Umoja wa Wafanyabiashara wa China, Dk.Hu Jianhua akizungumza katika uzinduzi wa Bandari ya Bagamoyo iyo jana.

0 comments:

Post a Comment