Friday 16 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akikalibishwa na Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Zanzibar Dkt Mohamed Shein.Fahamu zaidi hapa.

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM  Zanzibar Dkt Mohamed Shein akimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli kabla ya kupanda jukwaani na kuwahutubia maelfu ya wakazi wa kisiwani Unguja kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja,kisiwani humo.
 Wananchi  wakishangilia jambo kwenye mkutano  wa CCM Unguja kampeni.
Wananchi  wakishangilia jambo kwenye mkutano  wa CCM Unguja kampeni.

0 comments:

Post a Comment