Monday 12 October 2015

#YALIYOJIRI>>Rais Jakaya Mrisho Kikwete amsindikiza Rais wa Namibia baada ya ziara yake Tanzania.Fahamu zaidi hapa.

  Rais wa Namibia akiwaaga Viogozi mbali mbali wa serikali baada ya
ziara yake Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini leo Oktoba 12, 2015
 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam

0 comments:

Post a Comment