Wednesday 7 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Maelfu kwa maelfu wampokea Mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA huko Namanga.Fahamu zaidi hapa.

 Wananchi wa Namanga wakionyesha Mahaba kwa mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA katika,viwanja vya shule ya msingi Namanga.
Msafara wa mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA ukielekea Namanga ukitokea Longido leo Jumatano
Namanga iko tayari kwa mabadiliko katika viwanja vya Polisi leo Jumatano

0 comments:

Post a Comment