Monday 12 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Mh.Edward Lowassa aitikisa Mwanza kwa mapokezi makubwa ya maelfu kwa maelfu wamlaki.Fahamu zaidi hapa.


 Uwati wa Wanafurahisha wakionyesha kutaka mabadiliko kwenye kampeni za mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA Mh.Edward Lowassa Viwanja vya Furahisha,Mwanza
 Mhe. Edward Lowassa na Higness Kiwia wakiwasili Viwanja vya Furahisha Mwanza leo
Mhe. Edward Lowassa akiongea na wananchi wa Mwanza katika Viwanja vya Furahisha leo
Hawa ni wananchi wa  Furahisha wakionyesha kutaka mabadiliko katika kampeni ya mgombea wa CHADEMA UKAWA Mh.Edward Lowassa hii leo kwenye Viwanja vya Furahisha

0 comments:

Post a Comment