Monday 12 October 2015

#MICHEZO>>>Taifa Stars yawasili kutoka Marawi huku ikifanikiwa kuvuka hatua ya hawali.Fahamu zaidi hapa.

Wachezaji wa timu ya  Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam iyo jana wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo Stars ililala kwa bao moja  na kufanikiwa kusonga mbele kutokana na mchezo wa kwanza Taifa Stars kushinda magoli 2-0 na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya magoli 2-1 baada ya kufanikiwa kuitoa Marawi  itakutana na timu ya taifa ya Algeria.

0 comments:

Post a Comment