Tuesday 15 November 2016

#Breaking News>>>Ajali Morogoro. Basi la kampuni ya Sekenke limeanguka maeneo ya kwa makunganya inasadikiwa kuwa watu 4 wamepoteza maisha.Fahamu zaidi hapa.

Ajali imetokea asubuhi hii eneo la mkundi Morogoro (kama dakika 50 zilizopita). Basi la sekenke express kutokea Dar kwenda kanda ya ziwa limehama njia likagonga mti na kupinduka na kugeukia lilikotoka.

Watu 4 wamepoteza maisha na wengine 11 wamejeruhiwa.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

 

0 comments:

Post a Comment