Monday 14 November 2016

#BURUDANI>>>Mwanamuziki wa Bongo Flava "KEISHA" afanikiwa kujifungua Mtoto.Fahamu zaidi hapa.

Mwanamuziki wa Kike kunako Bongo Flava, Keisha, amefanikiwa kujifungua Mtoto wake wa tatu.

Kama hiyo haitoshi, furaha yake ikachagizwa zaidi kwa kuhitimu Chuo na kujipatia Degree yake. “Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah you are GREAT.” ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram. “I’m grateful…happy and blessed…Thank you so much my lovely hubby for being part of my life all the way…It’s a great lucky to have you in my life, Thank you again a loving father of my 3 cute children for your endless love and continued support for making my dreams come true…It’s 100% true that….To any successful woman.. there is a man behind…I LOVE U SO MUCH MY HUSBAND.” Keisha amehitimu shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management) katika chuo cha CBE.






Mwanamuziki wa Kike kunako Bongo Flava, Keisha, amefanikiwa kujifungua Mtoto wake wa tatu. Kama hiyo haitoshi, furaha yake ikachagizwa zaidi kwa kuhitimu Chuo na kujipatia Degree yake. “Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah you are GREAT.” ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram. “I’m grateful…happy and blessed…Thank you so much my lovely hubby for being part of my life all the way…It’s a great lucky to have you in my life, Thank you again a loving father of my 3 cute children for your endless love and continued support for making my dreams come true…It’s 100% true that….To any successful woman.. there is a man behind…I LOVE U SO MUCH MY HUSBAND.” Keisha amehitimu shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management) katika chuo cha CBE.
A photo posted by 🎤 Matukio ya Wasanii Bongo🎬 (@wasaniiwetu_) on
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment