Thursday 17 November 2016

#MICHEZO>>>MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani.


Mayweather ambaye alitangaza kustaafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana akisimamia pambano la mabondia Badou Jack  (kushoto) na James DeGale (kulia) akiwa ni promota.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment