Thursday 17 November 2016

#YALIYOJIRI>>>>Baada ya barabara kuporomoka, Japan wametumia siku mbili kukarabati.Fahamu zaidi hapa.

Wiki iliyopita iliripotiwa habari ya shimo kubwa lilitokea baada barabara kuporomoka ghafla katikati mwa moja ya miji mikubwa zaidi nchini Japan.
Ilielezwa kuwa Mporomoko huo ulianza kwa mashimo mawili madogo ambayo baadaye yalianza kupanuka hadi kuwa shimo kubwa lenye kina cha mita 30 na upana wa futi 98.
Sasa leo November 15 2016 imeripotiwa kuwa barabara hiyo imefunguliwa, unaambiwa imefanyiwa ukarabati kwa muda wa siku mbili.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment