Wednesday 16 November 2016

#BURUDANI>>>Picha ya Jokate Akiwa Amekumbatiana Yazua Gumzo, Mwenyewe Adai ilikuwa Event.Fahamu zaidi hapa.

 Watu Wabaya, Picha ya Jokate ya zamani akiwa amekumbatiana na Calisah imeubuliwa na kuzua sintofahamu huku wengine wakisema Jokate alishatoka na Mwanaume huyo ambae amekuwa gumzo kipindi hiki baada ya kutoka na Wema Sepetu na kusemekana anavujisha Picha za Faragha akiwa na Wema...

Jokate amejibu kwa kuandika haya:


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment