Tuesday 15 November 2016

#Breaking News>>>>Mbunge wa Tarime Vijini, John Heche anasurika kwenye ajali maeneo ya Mikese.Fahamu zaidi hapa.



 Mbunge wa Tarime Vijijini, Bw. John Heche amepata ajali maeneo ya Mikese akitoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo Bw. Heche amenusurika na yupo salama kufuatia ajali hiyo. Chanzo cha ajali hakijaweza kufahamika mara moja.

Pamoja na gari lake pia gari jingine nalo lilipinduka eneo hilo na haijajulikana mara moja magari hayo yaligongana au nini kilitokea kati yao.



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment