Tuesday 15 November 2016

#BURUDANI>>>U Heard: Kilichotokea Kwenye Familia ya Calisah Baada ya Video yake na Wema Kuvuja.Fahamu zaidi hapa.

November  14 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na Calisah kuhusu video iliyomuonesha yeye akiwa na  staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu wakikiss, Calisah amesema baada ya video hiyo kuvuja, bibi yake alipoambiwa kwa sababu alikuwa anamtetea sana Calisah alipata mshituko na kufariki……

’Hayo mambo yamesababisha mpaka nimepoteza mtu, amepata presha amefariki leo, siko sawa kabisa imenicost sana hata siwezi kuongea nimepoteza bibi yangu kwa sababu ya hivi vitu imeniumiza sana halafu mimi sijafanya hivyo vitu nivujishe video ili iweje‘ ;-Calisah

Kupata Full Stori, Bonyeza play hapa chini


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment