Thursday 17 November 2016

#MICHEZO>>>HATIMAYE AZAM FC 'YAIFUTA' RASMI FAMILIA YA KINA TCHETCHE, YAAMUA KUACHANA NA BOLOU.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Hatimaye Azam FC, imetangaza kuachana na mchezaji Kipre Bolou raia wa Ivory Coast.

Azam FC, imemuachoa Bolou, ndugu ya Kipre Tchetche aende zake baada ya mkataba wake kwisha.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibitisha kuhusiana na wao kuagana na Bolou.


Bolou alitua Azam FC akiwa na ndugu yake Tchetche ambaye sasa yupo nchini Oman anakocheza soka la kulipwa.



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment