Sunday 17 September 2017

Harmorapa Afunguka Kusema Kuwa Mzungu wa Harmonize na Wema Sepetu Wote Mabibi.

Harmorapa afunguka asema mzungu wa harmonize bibi, pia na wema sepetu naye bibi. Ila hapo nyuma Harmorapa alionyesha kudata kwa Wema sepetu na alikuwa kwenye vituo vya habari akisema live kuwa anapete ya kumvalisha wema sepetu.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment