Thursday 21 September 2017

Rooney Kukatwa Mshahara wa Wiki Mbili na Klabu ya Everton.

Klabu ya Everton ya nchini Uingereza imemlima adhabu ya kukatwa mishahara ya wiki mbili mshambuliaji wake Wayne Rooney kufuatia kukutwa na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa.
Fedha hizo zitapelekwa kwenye kituo cha watu wenye uhitaji maalum.
Everton ina mradi wa kusaidia watu wasiojiweza na imesema fedha hizo zitasaidia sana.
Rooney mwenye miaka 31 aliomba kusahemewa ili aepuke adhabu hiyo.
Siku ya Jumatatu alikuhumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili baada ya kukamatwa Septemba 1 akiwa anaendesha gari huku amelewa.
Atafanya pia kazi za jamii kwa siku mia moja.
TOA MAONI YAKO

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment