Monday 18 September 2017

Mwigulu, IGP Sirro Mmepinga Watu Kumuombea Lissu, Mnataka watu Wafanye nini ? – Mhe. Lema.

Baada ya jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kupiga marufuku maandamano ya maombi ya kumuombea Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia mtandao wa Twitter, amemhoji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na IGP Simon Sirro kuwa wao wanataka watu wafanye nini?

Kupitia mtandao huo Lema ameandika:

Lissu amepigwa risasi nyingi ! Hasira zetu tumeamua kumweleza Mungu, lakini mnatuzuia , Mwigulu/ IGP Sirro mnataka watu wafanye nini ?
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment