Thursday 21 September 2017

Jezi ya Okwi Yakimbiza kwa Kuuzika Mwanza.

Jezi ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi inauzika zaidi kuliko za wachezaji wengine hapa jijini Mwanza ikiwa ni kuelekea mechi ya Simba na Mbao FC.

Mfanyabiashara Said Hassan anayejishughulisha na uuzaji wa jezi jijini Mwanza, alisema kuwa jezi ya Okwi imekuwa na wateja wengi kuliko nyingine ikifuatiwa ya Haruna Niyonzima.

"Kwa sasa jezi ya Okwi inauzika sana kuliko nyingine na mashabiki wengi wanasema kuwa huyo ndiye mchezaji anayeibeba timu, nyingine kidogo ni ya Niyonzima," amesema Hassan.
TOA MAONI YAKO

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment