Thursday 21 September 2017

Wanasheria wa Uingereza Watuma Waraka Mzito kwa Rais Magufuli Baada ya Tukio la Kushambuliwa kwa Risasa Tundu Lissu.

KUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Chama cha Wanasheria cha Bar Human Rights Comitee cha nchini Uingereza, kimetuma waraka mzito kwa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Sehemu ya waraka huo imelaani vikali matukio hayo na kutaka chombo huru kipewe nafasi ya kufanya uchunguzi. Nakala ya waraka huo imetumwa pia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Spika, na Jaji Mkuu wa Tanzania.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment