Thursday 21 September 2017

Mdee Ampa Pole Kikiwete Asema Waliomzushia Walifikiria Alichotamani Kukisema ila Tatizo Mazingira Sio Wezeshi.

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amempa pole Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa maneno ya uzushi wanayozusha juu yake ambayo amekuwa akikanusha mara kwa mara.
Mdee ameeleza kuwa kweli amezushiwa huku akisema waliokuwa wakimzushia walifikilia alichotamani kusema ila mazingira sio wezeshi.

Pole sana Mkuu..na kama kweli umezushiwa waliokuzushia walifikiria ulichotamani kukisema, lakini mazingira sio wezeshi.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment