Wednesday 24 May 2017

Alichoandika Mh. Jakaya Kikwete mara baada ya Kukutana na Samatta Ubelgiji.

Mtanzania Mbwana Samatta anayecheza soka la Kulipwa Katika Klabu ya Genk huko Ubelgiji jana alipata Nafasi ya Kukutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Na Kikwete aliandika Maneno haya
“Nikiwa hapa Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya nimepata fursa ya kukutana na mwanasoka na kipenzi chetu leo hii “
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa jezi na Mbwana Samatta mapema baada ya kukutana huko Brussels, Ubeligiji.Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hap

0 comments:

Post a Comment