Thursday 25 May 2017

Arsenal hamuendi UEFA sababu hamjaulamba – Ommy Dimpoz.

Baaada ya kumalizika mchezo kati ya Manchester United na Ajax, na Man United kutwaa ubingwa wa UEFA Europa League, mastaa wale mashabiki wa Man United wamekuwa na utani wa hapa na pale huko Ommy Dimpoz akiwatania mashabiki wa Arsenal kuwa msimu ujao hatakuwepo kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwa sababu hawajaulamba, yaani kupendeza.

Ommy Dimpoz
Hizi ni baadhi ya tweet za mastaa.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment