Wednesday 31 May 2017

Radio EFM Yaongoza kwa kusikilizwa Jijini Dar.

Radio mpya hapa jijini yenye miaka miwili tu tangu ianze shughuli zake imekuwa tishio kwa Radio za hapa nchini.Radio EFM imetokea kupendwa sana kutokana na mpangilio mzuri wa vipindi vyao huku

ukinogeshwa na burudani za kila aina.Kipindi cha michezo cha Sport HQ kifanyikacho asubuhi kimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wengi hasa kutokana na Radio nyingi mda wa asubuhi vipingi hufanana ila kwa EFM wao wakaja na kipindi cha michezo kwa Masaa 3.Pia kitendo cha ku support mziki halisi wa kitanzania nikimaanisha singeli  imesababisha watu kuisikiliza kwa wingi.

Geo poll ni  kipimo kinachoonyesha  idadi ya wasikilizaji katika radio kwa sehemu husika.
Geopoll inaonyesha Radio EFM ndiyo Radio inayoongoza kusikilizwa kwa sasa JIJINI Dar.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment