Thursday 25 May 2017

Watu wanne wameripotiwa kufariki dunia na Wanafunzi 18 wamejeruhiwa baada ya kutokea tetemeko huko Geita.

:TAARIFA ZA AWALI:Wanafunzi 18 wa shule ya sekondari Nyang’ware wamejeruhiwa baada ya kutokea tetemeko huko Geita.

Watu wanne wameripotiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi maeneo ya mgodini mkoani Geita.

Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii Blog"www.hebronmalele.blogspot.com"

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment