Wednesday 24 May 2017

Roma Atinga Ikulu Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli.

Kwa mara ya kwanza Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki  na wasanii wengine tangu kuingia Madarakani kwa Rais John Magufuli wameitwa Ikulu.

Roma alionekana Ikulu akiwa bado Mkononi anabendeji aliwekwa kutokana na Majereha aliyoyapata kutokana na mateso aliyoyapata alipotekwa na watu wasiojulikana.

kwa pamoja na wasanii wengine waliimba mbele ya Rais Magufuli wimbo wa Kizalendo juu ya 'Tuulinde Muungwano'

Wimbo huo uliwakutanisha wasanii takribani wote wa Muziki wa Bongo Flavor.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hap

0 comments:

Post a Comment