Friday 26 May 2017

Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir Bin Ally amewatangazia waislamu mfungo Mtukufu wa mwezi wa Ramadhani unaanza rasmi kesho.

Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir Bin Ally amewatangazia waislamu wote kuwa mwezi umeonekana sehemu kubwa ya Tanznaia na Kenya na kwamba mfungo Mtukufu wa mwezi wa Ramadhani unaanza rasmi kesho na kuwatakia wote Ramadhani Karim.
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment