Wednesday 24 May 2017

#Breaking News>>>Rais Magufuli Amtaka Profesa Muhongo Aachie Ngaza Kutokana na Ripoti ya Makontena ya Mchanga.

Kutokana na Madudu ya yaliyowekwa wazi na Taarifa ya Makontena ya Mchanga aliyokabithiwa Rais Leo hii, Rais Magufuli amemtaka Waziri Professor Dr. Sospeter Muhongo ajitasmini upya na amemtaki aachie ngazi

JPM Amenukuliwa akisema haya:

"...... .. Ni rafiki yangu lakini katika hili, 
Ajitathmini, Ningetaka ajiudhulu''-
JPM.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hap

0 comments:

Post a Comment