Thursday 25 May 2017

Serikali Yasikia Kilio cha Mzee Maskini Aliyechora Nembo ya Taifa.

Mzee Francis Maige maarufu Ngosha, aliyechora nembo ya Taifa amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) akitokea Amana alikokuwa amelazwa.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla amemtembelea leo asubuhi kumjulia hali.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment