Sunday 28 May 2017

#BREAKING NEWS>>KIUNGO WA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MBAYA YA GARI AKITOKEA DODOMA.

Kiungo wa Simba,Jonas Mkude amepata ajali mbaya maeneo ya Mitibora,Dumila mkoani Morogoro akiwa njiani kurejea Dar es Salaam kuiwahi Taifa Stars. Taarifa za awali zinasema ameumia maeneo ya shingoni, amekimbizwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro pamoja na majeruhi wenzie ambao baadhi wana hali mbaya. 

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa


                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment